Wednesday, July 10, 2013

AJIRA BILA DARASA NOMA

Hawa ni watoto ambao umri wao ni wakwendashule lakini wanakosa huduma hiyo huwezi kujua ni nini kinachowasibu watoto ama wazazi hawana uwezo ama haawana walezi wa kuwalea haya ni maoni yangu watoto kama wako wangapi hapa Nchini amba ni viongozi wa kesho picha hii waklionekana wakitoka katika viwanja vya mwalim Nyerere vya sabasaba baada ya kufanikiwa kuokota chupa tupu kwa ajili ya kuhangaikia maisha ingawa watu hesema maisha popote lakini si kwa umri huu hivi sasa hawa watoto ukiwauliza soko la chupa tupu wanakupeleka kwa sababu ndio mtaji wao bila chupa maisha hayaendi lakini walipomuona mpiga picha wa blog hii anawapiga picha walisema noma mzee leo wazazi na walezi tujitahidi

Add caption

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu