Friday, July 26, 2013

BAYERN MUNICH YAICHAPA BARCELONA 2-0 NA KUTWAA KOMBE LA ULI HOENESS

Get used to this: Bayern Munich players, including Daniel van Buyten (centre) celebrate after their win
 Daniel van Buyten (katika) akinyanyua juu Kombe la Uli Hoeness, ambalo Bayern Munich ilitwaa jana usiku baada ya kuichapa Barcelona ya Hispania kwa mabao 2-0.
Hoisted high: Bayern were given the Uli Hoeness Cup after their two-goal victory
Wachezaji wa Bayern wakipozi kwa picha wakiwa na taji la ubingwa wa Kombe la Uli Hoeness ndani ya dimba la Allianz Arena.
On target: Philip Lahm (centre) struck early on for Bayern Munich as the Germans took control
Philip Lahm (mwenye beji ya unahodha katikati) akishangilia na wenzake baada ya kufunga bao la uongozi dhidi ya Barcelona.
Good going: Pep Guardiola's side looked strong and imposing against Barcelona
Kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola anayeinoa Bayern Munich kwa sasa akifuatilia mtanange huo.
Woe: It was a disappointing first half for Barcelona captain Messi and then he was substituted
Mtokea benchi Lionel Messi wa Barcelona akishindwa kuamini kilichotokea kwa kikosi chake.
Double up: Mario Mandzukic scored the second from close range to seal the game
Mario Mandzukic (mwenye jezi namba 9) akifunga bao la pili la Bayern katika mechi hiyo.
Opener: Lahm celebrates after heading past Pinto to give Bayern a 1-0 lead
Lahm kushoto akishangilia bao la uongozi kwa timu ya Bayern Munich.
Edging through: Thiago (left) and Boateng (right) challenge Messi for the ball
Thiago (kushoto) na Jerome Boateng (kulia) wa Bayern Munich, wakimdhibiti Lionel Messi.
Fight for the ball: Frank Ribery of Muenchen challenges Marc Bartra
Frank Ribery wa Bayern Munich akichuana na Marc Bartra wa Barcelona.
Strolling: Guardiola seems to have it easy with Bayern, given their strong squad and winning ways
Guardiola katika moja ya harakati zake na kikosi chake cha Bayern katika mechi hiyo.
Blowing one's trumpet: Musicians in traditional costumes perform in the stadium before the game
Brass Band ikitumbuiza kupanga ufunguzi wa pambano la kuwania ubingwa wa Kombe la Uli Hoeness, ambalo liliisha kwa Bayern kuilaza Barcelona mabao 2-0.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu