Monday, July 8, 2013

Jionee picha ajali nzima ya basi la Sumry lililoua watu 9 Katavi


Baadhi ya majeruhi wakiwa wamelazwa hospitalini

Majeruhi wa ajali hiyo wakisikilizia maumivu baada ya kupatiwa matibabu
wengine wakiwa wodini wakiendelea na matibabu


Mganga mkuu wa wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, Dr Emanuely Kamgobe akifafanua jinsi walivyoweza kumudu kuwahudumia wahanga wa ajali
Baadhi ya picha ya basi hilo baada ya kuopolewa mtoni


Basi la Sumry lenye namba T909AZT mara baada ya kuondolewa mtoni Sitalike maarufu kama nyumba ya VibokoJulai 5, 2013 






Kijidaraja chembamba kinachodaiwa kusababisha ajali tisa tangu Januari 2013 hadi Juni 2013



Daraja jembamba ambalo pia alina hata kingo za usalama siyo kwa magari hata waenda kwa miguu










Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu