MWANAMKE  Janeth Jackson Simon (32) (mwenye ushungi wa rangi
nyekundua), akiwa amejifunika kwa aibu katika Mahakama Kuu, kanda ya
Arusha, alikofikishwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua mumewe
Simon Jackson na mtoto wake, ili arithi mali.(Picha na Cynthia
Mwilolezi, Arusha)