Tuesday, July 9, 2013

MATUKIO MBALIMBALI

Rais wa shirikisho la mpira Tanzania Leodga Tenga akiongea na wandishinwahabri wakatiwa uzinduzi ushirikiano na United Agaist Malaria kuongezeka juhudi za mapambano dhidi ya malariakampuni ya simu za mkononi za Zantel ndio ndio waliozindua ushirikiano baina yake na unitred agaist kulia afisa Biashara mkuu saji khan leo



Mkurugenzi wa umoja fund Dr hamis kibola akisisitiza jambowakati akiongea na wandishi wahabari kuhusu Dhaman ya uwekezaji Tanzania UTT MKURUGENZI HUYO ALIONGELEA MASWALAMBALIMBALI KUHUSU DHAMANA YA UWEKEZAJI



Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Demokrasia na maendeleo Freeman Mbowe akionyesha kitabu kilichokuwa na matukiobalimbali ya kukiukwa kwa haki za binadamu dhi ya wanachama wa Chadema kupigwa na kuumizwa vibaya na kukamatwa mwenyekiti huyo alisema hayo wakati akiongea na wandishi wa habari kuhusu kutoa ripoti ya kikao cha kamati kuu ya chama hicho baada ya kumaliza mkutano wao hivi karibuni katika kupitia rasim ya katiba pamoja na matukio ya mtwara kuhusu gesi
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu