Saturday, July 27, 2013

STARS IMEFUNGWA JUMLA YA MAGOLI 4-1 NA KUTOLEWA KWENYE MASHINDANO

Timu ya Taifa Stars imefungwa na timu ya Uganda Creans kwaq mabao matatu kwa moja 3-1 katika mchezo wa leo uliochezwa katika uwanja wa Nambole nchini Uganda jumla ya magoli manne  4-1 Taifa Stars imeshindwa kufunzu kucheza faina itayofanyika Afrika ya kusini mwakani
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu