Saturday, July 20, 2013

WANAODAIWA KUWA WAMEPIGWA NA WANAJESHI KATIKA VURUGU ZA MTWARA



Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) mkoani Mtwara kutoka (kulia) ni,  Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mtwara Mjini, Ismaili Njalu.  Katibu wa Wilaya ya Mtwara mjini, Said Kulanga na Mwenyekiti wa Wilaya ya Mtwara mjini, Salum Mohamed wakiwaonyesha waandishi wa habari majelaha inayodaiwa waliyapata baada ya kupigwa na Wanajeshi wa  (JWTZ) wakati wa vurugu za mtwara picha wakiwa katika ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Dar es Salaam


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu