Saturday, July 20, 2013



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Joyce Mapunjo  wakiweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko katika kijiji cha Mkenda wialyani Songea Vijijini Julai 19, 2013. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wananchi wa Songea Vijijini  wakicheza ngoma ya Lizombe wakti Waziri Mkuu,Mizengo Pinda alipoweka jiwe la Msingi la ujenzi wa soko  na kuhutubia wananchi katika kijiji  cha Mkenda akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu