Friday, September 13, 2013

MATUKIO

 Mkurugenzi Msaidizi na Meneja Masoko, wa Kampuni ya Sheria Ngowi, Deogratius Kessy kushoto, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mbunifu wa Tanzania kualikwa kuhudhuria mashindano ya, New York Shashion week Show yatakayofanyika Nchini Marekani kulia ni, Ofisa Mahusiano wa kampuni hiyo, Julia Makundi.

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu