MH. LOWASSA AKUTANA NA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOANI TABORA NA KUTEMBELEA CHAMA CHA WAENDESHA BODABODA
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
(katikati) akiongozana na baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi
Mkoani Tabora,wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya
Tabora Mjini,mchana wa
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Tabora waliofika
kumlaki alipokuwa akiwasili Mkoani Tabora mchana wa
Msafara
wa Pikipiki (maarufu kama Boda Boda) Mkoani Tabora ukiwa barabarani
wakati wa kumpokea Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa alipokuwa akiwasili Mkoani Tabora leo,ambapo alitembelea
Ofisi za Chama cha Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoani Tabora.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na baadhi ya wanachama wa Chama cha Waendesha Pikipiki
(Bodaboda) Mkoani Tabora wakati alipokitembelea Chama hicho jioni ya leo
Septemba 13,2013.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama hicho,Waziri Kipusi.
Mwenyekiti
wa Chama Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoani Tabora,Waziri Kipusi
(kushoto) akisoma taarifa fupi mbele ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa juu ya mwenyendo wa Chama hicho
pamoja na malengo yake.ambapo Mh. Lowassa ameahidi kuwapatia pikipiki
tatu,ikiwa ni sehemu ya mchango wake kwenye Chama hicho.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akizungumza machache kwenye mkutano wake ya Waendesha Boda Boda wa Mkoa
wa Tabora.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akizungumza jambo na Watoto waliojitokeza kumsalimia wakati alipokuwa
akiwasili Mkoani Tabora
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akifurahia jambo na Watoto Chipukizi waliokuwepo nje ya Ofisi za CCM
Wilaya ya Tabora Mjini.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (mwenye
kipaza sauti) akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wanafunzi wa Vyo
mbali mbali Mkoani Tabora,waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Ukumbi
wa Chuo cha Utumishi,Mkoani Tabora
Mwenyekiti
wa UVCCM Wilaya ya Tabora Mjini,Seif Gulamali akizungumza machache
mbele ya Wanafunzi wa Vyuo mbali mbali Mkoani Tabora leo.
Mbunge
wa Jimbo la Urambo,Mh. Athuman Kapuya akijibu moja ya Maswali
yaliyokuwa yakiulizwa na Wanafunzi hao wa Vyuo mbali mbali Mkoani Tabora
waliokuwa wamefurika kwa wingi ndani ya Ukumbi wa Chuo cha Utumishi
Mkoani humo,kumsikiliza Mh. Lowassa.
Baadhi ya wanafunzi hao kutoka Vyuo mbali mbali Mkoani Tabora,wakiuliza maswali.
0 comments:
Post a Comment