Tuesday, September 17, 2013

Profesa lipumba na Freeman mbowe na james mbatia watinga katika jukwaa la katiba leo

 Viongozi wa vyama vya siasa wa kitaifa kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha NCCR MAGEUZI ,James Mbati ,mwenyekiti wa taifa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mwenyekiti wa chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba wakiwa na Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Deus Kibamba mara baada ya mkutano wao kwa pamoja uliofanyika kwenye ofisi za jukwaa la katika katika namna ya kufanya majadiliano ya pamoja ili kupinga mchakato wa rasim mpya ya katiba ili kuanzimia  viongozi hao wamesema watafanya ziara ya kutembelea taasisi kadhaa ili kupeleka ujumbe wao kwa pamoja katika kuunga mkono ukiukwaji rasmu hiyo mkutano huo ulifanyika leo 

Picha ya pamoja na viongozi mbali mbali pamoja na taasisi  zinatete haki za binadamu

mwenyekiti wa taifa wa chadema Freeman Mbowe akiagana na mwenyekiti awa jukwaa la katibaDeus kibamba

profesa ibrahim lipumba na freeman mbowe


wakiashiria umoja wao udumu



Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu