Thursday, September 19, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AZUNGUMZA NA MABALOZI WA HESHIMA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa heshima watakaoiwakilisha Tanzania katika majimbo mbalimbali nchini Marekani wakati wa hafla ya kuwapa hati za utambulisho zilizofanyika katika ubalozi wa Tanzania jijini Washington Marekani leo(picha na Freddy Maro)
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu