Wednesday, September 11, 2013

TIMU YA SUNDERLAND KUJENGA KITUO CHA ACADEMIC PAMOJA KUKUZA UTALII

Mkurugenzi wa Michezo wizarani Leonard Tadeo (kushoto) akipokea jezi ya timu ya Sunderland kutoka kwa mkurugenzi wa Biashaara wa timu hiyo Cary Hutchinson wakati walipongea na wandishi wahabari kuhusu timu hiyo kutangaza utalii iliyofanyika jana katikati ni mkurugenzi mwendeshaji Dkt Aloyce Nzuki wa ttb timu hiyo ya Sunderland itajenga kituo cha ACADEMIC  ili kuendeleza vipaji na kufikia kuwa kama wezentu hayo ni muendelezo wa Rais Jakaya Kkikwete wakati walipokuwa katika ziara nchini uingereza na kuwa na mazungumzo na kukubaliana katika kukuza utalii pamoja na ujenzi wa kituo cha mafunzo kwa mpira

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu