Tuesday, September 24, 2013

UOKOAJI BADO UNAENDWELEA KATIKA JUMBA LA BIASHARA LA WEST GATE


WANAJESHI WAKIWA KWENYE DORIA

WATU MBALIMBALI WALIKWENDA KUTOA MSAADA

Jermaine John Grant ( katikati), raia wa Uingereza, akipelekwa katika mahakama ya Shanzu  na maafisa wa polisi wa Kenya , karibu na  mji wa  Mombasa nchini Kenya jana.  Grant anatuhumiwa kufanya mashambulizi ya kupanganchini Kenya yenye uhusiano na kikundi cha  al Shabaab cha Somalia kilichai kuhusika na  shambulio mwishoni mwa wiki kwenye maduka katika jengo la Westgate jijini Nairobi. Mtuhumiwa Grant alikamatwa na jeshi la polisi la Kenya Desemba mwaka 2011 nyumbani kwake Mombasa.PICHA: REUTERS
 

WANAJESHI WAKIWA KWENYE DORIA


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu