2


SI LA KULIKOSA

Friday, September 27, 2013

WASHITAKIWA WA EPA WAHUKUMIWA KWENDA GEREZANI

MSHITAKIWA  EDDAH MWAKALE NA BAHATI MAHENGE WAKITEREMKA KUTOKA KATIKA MAHAKAMA AYA KISUTU  MARA BAADA YA KUTOLEWA HUKUMU YA KUPELEKWA GEREZANI KWA KOSA  FEDHA ZA EPA LEO

Washitakiwa kesi ya Epa toka kushoto ni Bahati Mahenge, Manase Mwakale na  Eddah Mwakale wakiwa katika mahakama ya kisutu kusomewa shitaka lao na kufungwa jela

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo kwenye ofisi za ubalozi wa Kenya wa kudumu katika Umoja wa Mataifa jijini New York jana kufuatia shambulizi la kigaidi katika sehemu ya biashara ya West Gate jijini Nairobi Kenya hivi karibuni.Kulia ni Naibu Balozi wa Kenya wa kudumu Umoja wa Mataifa(Deputy Permanent Representative) Mhe.Koki Muli Grignon PICHA NA FREDY MARO WA IKULU

 Luteni Jenerali Sylvester Rioba akipunga mkono wakati akiwa katika gari malumu la kijeshi ambalo hutumiwa  katikasherehe za kuaga maofisa wenyengazi za majenerali sherehe hizo zimefanyika katika kambi ya  Abdala Twalipo Dar re salaam  picha na chris mfinanga

MANASE MWAKALE AKIWA NA BAHATI MAHENGE  WAKIPELEKWA MAHABUSU LEO KATIKA MAHAKAMA AYA KISUTU MARA BAADA YA KUSOMEWA SHITAKA LAO LA UPOTEVU WA FEDHA ZA EPA

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu