jeneza lamwili wa marehem SENGONDOMVUNGI MARA BAADA YA KUWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE LEO |
VIONGOZI WA SERIKALI WALIOFIKA KUPOKEA MWILI WA MAREHEM MVUNGI |
VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA NDUGU WA MAREHEM MVUNGI WAKIOMBEA |
BAADHI YA VIONGOZI WA NCCR WALIOFIKA KUPOKEA MWILI WA MAREHEM MVBUNGI |
VIJANA WA NCCR WAKIBEBA MWILI WA MAREHEM DR MVUNGI MARA BAADA YA KUWASILI LEO |
VIJANA WA NCCR WAKIBEBA MWILI WA MAREHEM DR MVUNGI MARA BAADA YA KUWASILI LEO UKINGIZWA KWENYE GARI |
0 comments:
Post a Comment