BREAKING NEWS, AJALI MBAYA YATOKEA MBALIZI MAGARI ZAIDI YA MATANO YAGONGWA.
Magari yakiwa yamegongwa Mbalizi Mbeya
Watu mbalimbali wakiwa wanashangaa ajali hiyo iliyosababisha Gari moja kugonga magari mengine zaidi ya matano PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
0 comments:
Post a Comment