Thursday, April 24, 2014

michuano mbambali ya mei mosi mjini morogoro

Mwakilishi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Rutunda Boniface (wa pili kushoto) akiwa katika mstari tayari kwa ajili ya kuanza mbio za baiskeli za Kilomita 15 katika michezo ya Mei Mosi inayoendelea mjini Moorogoro. (Picha na Rodney Thadeus wa AICC).
 

Rashid Habib Rashid wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kushoto akipambana na mpinzani wake kutoka Ofisi ya Rais katika mchezo wa karata, ikiwa ni sehemu ya michezo ya Mei Mosi inayoendelea mjini Moorogoro. (Picha na Rodney Thadeus wa AICC).
 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu