Monday, July 21, 2014

BREEKING NEWZZZZZZZ VIUNGO VYA BINADAMU VAOKOTWA KATIKA MACHIMBO BUNJU

Jeshi la polisi Wilayani kinondoni mkoani Dar es salaam limesema kuwa limekamata viungo vya  mbalimbali rambovya Binadamu vilivyohifadhiwa katika mifuko ya plastiki maarufu kama mifuko ya rambo katika eneo la machimbo ya kokoto yaliyopo Bunju nje ya jiji la Dar es salaam  

kamanda wa polisi  wa kinondoni amethibitisha tukio hilo na na kusema viungo hivyo vimepelekwa katika kituo cha polisi kilichopo Bunju  habari zaidi tutawaletea na blog hii
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu