Friday, September 19, 2014

Hayawi hayawi yamekuwa: Bwana harusi RenatusMalulu akimvisha pente ya ndoa mkewe Imeresiana Charles wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofanyika katika kanisa katoliki laMtakatifu  Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es Salaam, nakufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi center. 








Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu