Wednesday, September 17, 2014

*KINANA AWAAMBIA UKWELI VIONGOZI WA CCM MAFIA

 Umati wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi hao.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake wafanye shughuli za maendeleo kwanza.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.
Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga akihutubia wakazi wa Mafia ambapo aliwaambia Mafia ndio wilaya pekee itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR ES SALAAM.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).

 Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.  

 Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo,  uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, akizungumza kabla ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo,  uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.  
 Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.  
 Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.  
 Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.  
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi.
 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu