Home
»Unlabelled
» MWANDISHI WA HABARI AMEFARIKI DUNIA
MWANDISHI WA HABARI AMEFARIKI DUNIA
|
Mwandishi wa magazeti ya NIPASHE Samson Fridolin Henjelewe pichani amefariki Dunia jana nyumbani kwake Manzese jijini Dar es salaam kwa mujibu wa kaka wa marehem Wolfgang Henjewele amesema marehem Samsoni alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kisukari, Shindikizo la damu na Figo amesema Taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwake atazikwa kesho jumatano makaburi ya Mburahati marehem amezaliwa mwaka 1971 jijini Dar es Esalaam mungu amlaze pahala pema |
0 comments:
Post a Comment