Sunday, October 19, 2014

MTOTO HASANI MASASI  AMETOROKA NYUMBANI KWAO MOSHI ANAOMBA MSAADA WA KURUDISHWA

AKIANDIKA JINA LAKE


Mtoto Hasani Masasi miaka 7 mwanafunzi wa shule ya msingi kindi juu Umbwe kibosho  ameokotwa katika eneo la mlalakuwa  na msamaria  anaejitambulisha kwa jina la Dotto Mkonda baada ya kumkuta akiwa kando kando ya ukuta wa nyumba huku akitetemea msamaria huyo alidai alimkuta mtoto huyo akiwa katika hali ambayo ilimtia wasiwasi na kugundua kwamba hajapata chakula nae mtoto Hasan amesema amekuja na basi akitokea moshi amewataja wazazi wake ni Masasi ambye ni baba  yuko mkoani Bukoba na mama yake Pendo ambaye yuko Moshi amewataja watoto wanaoishi nae mtaani umbwe ni Kolii , Furaha , na Frora Hassani anaongea kiswahili na kichaga anaombwa arudishe kwa wazazi wake moshi
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu