Monday, November 24, 2014

BREAKING NEWZZZZ MBUNBGE WA MUHAMBWE felix nkosamali ashikiliwa na polisi kigoma

mbunge wa jimbo la muhambwe wilayani kibondo mkoani kigoma Felix Nkosamali anashikiliwa na polisi baada ya kwenda katika kituo cha kuandikishia kura kuchukua vitabu vya kujiandikishia wapiga kura uandikishaji unavyoendelea inadaiwa kwa mujibu ya taarifa ya habari ya tbc ya saa tano usiku mbunge huyo alifika kituoni na huku akidai watu wengi wanaojiandikisha ni wanachama wa chama cha ccm ndipo alipokusanya vitabu vya kujiandikia na kuonda navyo hadi kwamkurugenzi na kumtupia polisi mkoani humo imethibisha kukamatwa kwake muda waa 9 jioni leo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu