Saturday, November 22, 2014

: Rais Kikwete atolewa nyuzi katika mshono-Afya yake yazidi kuimarika



Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns
Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika
mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete
anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa
maendeleo ya kidonda na ushauri .Kulia kwake ni Daktari wa Rais
Profesa .Mohamed Jana

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu
baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore
Maryland alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji
wa Tezi Dume wiki iliyopita..Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena
hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na
ushauri.


Picha na  Freddy Maro

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu