BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE
Mabondia Antony Peter kushoto
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa
mpambano wao Mussa alishinda kwa point mpambano huo Picha na SUPER D BOXING NEWES
Mabondia
Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na
Selemani Mkalakala wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa unaotambuliwa
na chama cha TPBC Maokola alishinda kwa k,o ya raundi ya saba Picha na
SUPER D BOXING NEWES
Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini
kwa konde zito alilotupiwa na Ibrahimu Maokola wakati wa mpasmbano wao
wa ubingwa Picha na SUPER D BOXING NEWES
IBRAHIMU MAOKOLA
Mgani rasmi katika mpambano huo Joseph
Vitalis kulia akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambulika na chama cha
TPBC bondia Ibrahimu Maokola baada ya kumdunda Seleman Mkalakala kwa k,o
ya raundi ya 7 kushoto ni promota wa mpambano huo Shabani Adiosi Picha
na SUPER D BOXING NEWES
0 comments:
Post a Comment