Saturday, December 20, 2014

HARUSI YA MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA THE GUARDIAN LTD, BW. NELSON KESSY NA MKEWE REGINA MOLLEL

Bwana Harusi Nelson Kessy akimvisha pete mkewe Regina Mollel katika harusi iliyo fanyika kanisa la Kristu Mfalme Tabata tarehe 29/11/ 2014 Jijini Dar es Salaam.

 Bibi Harusi Regina Mollel akimvisha pete mumewe Nelson Kessy katika harusi iliyo fanyika kanisa la Kristu Mfalme Tabata tarehe 29/11/ 2014 Jijini Dar es Salaam.
 Bibi Harusi Regina Mollel akiwa katika pozi la picha na wapambe wake mara baada ya harusi.
 Bwana na Bibi Nelson Kessy wakiwa katika pozi la picha
 Maharusi wakiwa wanaingia ukumbini Rombo Green View Hotel ambapo ndipo tafrija ilipofanyikia.
 Maharusi pamoja na wasimamizi wao wakifungua shampeni ukumbini
 Maharusi wakikata keki
 Maharusi wakilishana keki
 Maharusi wakicheza mziki
 Bwana na Bibi Kessy wakikata Ndafu
 Bwana na Bibi Kessy wakilishana ndafu
Bwana Kessy akimlisha mkewe chakula.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu