Friday, December 19, 2014


 
 Mkurugenzi wa Uuguzi Agnes Mtawa (wa kwanza kulia) akiwasha mshumaa na wakuu wa vitengo,  katika maandalizi ya kumuaga aliyekuwa Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (wa pili kulia ni) Mkurugenzi wa Uuguzi katika  Taasisi ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu  (MOI) Flora Kimaro. (PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa.
 Wauguzi wakiwa katika maandalizi ya kumuaga Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana  Dar es Salaam juzi.
 Wauguzi wakiwa na Mishumaa wakiwa katika maandamano kuelekea katika Jengo la Watoto lililopo jirani na Msikiti wa Muhimbili .
 Mameneja wa Wauguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwasha Mishumaa wakati wa kumuaga Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana  Dar es Salaam juzi.



 Mkurugenzi wa Uuguzi Agnes Mtawa, (kushoto ) akiwa anaanzisha wimbo katika kumuaga  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na mazishi yaliyo fanyika katika Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam juzi.


Mjane wa Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana, Sophia Mpandana (wa sita kushoto) akiwa na wana familia baada ya mazishi ya mumewe katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam juzi.

Prof, Mstaafu, aliyekuwa   Mkuu wa Kitivo cha Uuguzi  (MUHAS)  na Mstaafu wa Kitivo cha Uuguzi wa chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki  Pauline Mella  (wa pili kushoto) akiwasha mshumaa pamoja na viongozi mbalimbali na (wa pili  kulia) ni Mkurugenzi wa Uuguzi katika  Taasisi ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  Flora Kimaro.
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania , Poul Magesa  (wa kwanza kushoto)  akiwasha mshumaa wakati wakijianda kwa msafara wa kwenda kumuaga aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika makaburi ya Kinondoni kwa Mazishi.









Wauguzi wakifatilia kwa ukaribu na kuwa watulivu wakati zikiendelea taratibu za  shughuli za kuuaga mweli wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika makaburi ya Kinondoni kwa Mazishi.

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi , Dakt. Deo Mtasiwa(wa kwanza kulia) , akisalimiana na ndugu na jamaa zake baada ya maziko ya Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam, (wakwanza kushoto ni) Dakt. Berege na wa nne kushoto ni Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania , Poul Magesa
Mama Mzazi wa aliyekuwa   Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana, Rozalia Said Mpandana , akiwasha mshumaa kwa maadalizi ya kuweka katika kaburi la mwanaye .





















Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni , akipita mbele ya jeneza ,  akitowa heshima za mwisho  kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika makaburi ya Kinondoni kwa Mazishi.
Mwakilishi , ambaye aliye mwakilisha Rais Jakaya Kikwete, Prof Mohamed Janabi na ambaye ni Dakt.Mkuu wa Rais , akipita mbele ya jeneza ,  akitowa heshima za mwisho  kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika makaburi ya Kinondoni kwa Mazishi.

Mkurugenzi Mtendaji  Hospitali ya Taifa Muhimbili ,Marina Alois Njelekela ,  akipita mbele, mwisho  akitowa heshima kwenye Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika makaburi ya Kinondoni kwa Mazishi.



Rais Mstaafu wa Chama cha Wauguzi  Tanzania Eltcol Mwambungu, akipita mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika makaburi ya Kinondoni kwa Mazishi.

Dakt.Bingwa   wa  Taasisi ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu  (MOI), Anthoni, akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika Makaburi ya Kinondoni.
Mkurugenzi Mstaafu  wa Mafunzo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dakt.Gilbelt Ronald Mlinga , akitowa heshima za mwisho kwa aliyekuwa   Baadhi ya Madaktari waliopo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakitowa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana , katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam Juzi kabla ya kwenda katika makaburi ya kinondoni kwa mazishi.
Baadhi ya Madaktari waliopo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakitowa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana , katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam Juzi kabla ya kwenda katika makaburi ya kinondoni kwa mazishi.
Baadhi ya Madaktari waliopo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakitowa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana , katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam Juzi kabla ya kwenda katika makaburi ya kinondoni kwa mazishi.

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu