Saturday, December 20, 2014

SHAMRA SHAMRA ZA MANUNUZI YA BIDHAA ZA KRISMAX MTAA WA KONGO

shamrashamra za manunuzi ya nguo za krismasi mtaa wa kongo
SHAMRA SHAMRA ZA MANUNUZI YA BIDHAA ZA KRISMAX MTAA WA KONGOBaadhi ya akina mama wakichagua nguo
Mfanyabiashara wa katika mtaa wa kongo akipuliza mrija wenye maji ya sabuni ambayo anauzamieiri ya puto




mama huyu akitengenezwa nywele baada ya kununua katika mtaa wa kongo

dogo akivishwa nguo ambaye akijaribishwa kama inatosha


wafanyabiashara wakiwa kazini

hii ndio hali ya mtaa wa kongo katika manunuzi ya krismax

sagulasagula katika mtaa wa kongo


mmachingaakiwatangazia bei wannunuzi katika mtaa wa kongo leo

biashara huku jua kali mpaka boksi ndio mwemvulia

wamachinga wakinadi ngua

wakinunu shanga na vidani


wakinamama wakichagua nguokwa ajili ya krismax

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu