Monday, March 31, 2014

WALIOPATA AJALI YA MTUMBWI WAJULIKANA

0 comments
MAITI MOJA KATI YA 8 WALIOPATA AJALI YA MTUMBWI KUGONGA PANTONI  HUKO MTO RUFIJI ENEO L;A UTETE IMEPATIKANA NA MAITI SABA MPAKA HIVI SASA HAZIJULIKANI WALIPO KWA MUJIBU WA MEYA WA MJI MDOGO WA UTETE MASOUD AMESEMA MTUMBWI HUO ULOIKUWA UNATOKEA MKONGO UKIELEKEA UTETE ILIKUWA KATIKA MAJIRA YA SAA 12 JIONI NAHODHA WA MTUMBWI HUO  ABDALLAH YUSSUF ULIMSHINDA NGUVU KUTOKANA MAJI YA MTO HUO YAKIENDA KASI NA KUSHINDWA MUELEKEO ANA KUGONGA PANTON LAKIVUKO CHA UTETE KILICHOKUWA KIMEEGESHWA KUTOKANA MAJIYA MTO HUO WA RUFIJIKUFURIKA MAJI

WATU WALIOPOTEA  NDUGU WALIWATAJA KAMA HUSNA RWAMBO ,MIALI PAMOJA ZAKILIOMO NJA KADHAA KA 15 ZARUBIA RWAMBO  10RATIFA MKONO  14 PRISC KULWA 20 AMBAYE NI MLOKOLE DIANA KULWA NAE 16  ,UWESU MBONDE ,MIAKA 6,ZARIA MBONDE 8,MWASHAMBA CHINGA 14 HAWA MPAKA SASA BADO HAWAJAONEKANA SHUGHULI AZA UOKOAJI ZINAENDELEA

WALIOKOLEWA MPAKA SASA NI WATU SABA AMBAO NI RAMADHANI MKONO,PILI HUNGWA,NASIRA MAGIMBI ,SHABANI MBONDE ,RAMADHANI GIDO ,KHARIM SALEEM  KHARID MBONDE MTUMBWI HU ULIOKUWA UMEBEBA WATU WALIOKUWA WANATOKA KATIKA SHUGHULI MBALIMBALI MZUKA WA FUNGO TUNAWAPA POLE WOTE NDUGU KWA YOTE YALIYOTOKEA KWANI MUDAWASIKU MBILI TU JUZI USIKU ILITOKEA AJALIMBAYA WILAYANI RUFI IMEPOTEZAIDADI YA WALIOPOTEZA MAISHA  MZUKA TUTAWALETEA HABARI ZAI ENDELEA KUANGALIA MZUKA WA FUNGO
Endelea Kusoma >>

BREKING NEWZZZZ WATU 8 WAMEFARIKI BAADA YA KUZAMA

0 comments
WATU 8 KATI YA 16 WAHAHOFIWA KUFA NA MAJI KATIKAMTO RUFIJIBAADA YA WALIOKUWA WAHASAFIRIA KUGONGANA NA PANTONI NA KUZAMA NA WATU WA 8 WENGINE HAWAJAONEKANA MPAKA HIVI SASA NA JUHUDI YA KUWATAFUTA IMEKUWA NGUMU KUTOKANA GIZAAJALI HIYO IMETOKEA MUDA WA JIONI SANA   RADIO ONE
Endelea Kusoma >>

Sunday, March 30, 2014

PMO- PINDA AKABIDHI TUZO YA MAWNAMKE BOR 2014

0 comments
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika hafla  ya kutoa tuzo ya Global Publishers iliyotolewa kwa mwanamke bora nchini mjini Dodoma Machi 29, 2014. Wengine pichani  kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigogo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Lephy Gembe na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mku

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2014 ya Global Publishers, Profesa Anna Tibaijuka  mjini Dodoma machi 29, 2014. Katikati ni Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2014 ya Global Publishers baada ya kuwatunuku tuzo zao mjini Dodoma Machi 29, 2014.  Kutoka kushoto ni Anna Abdallah ambaye alipokea kwaniaba ya Dr. Asha Rose Migiro, Anne Kilango, Maria Kham na Profesa Anna Tibaijuka. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu

Endelea Kusoma >>

MASHINDANO YA NETTBAL YA AFRIKA MASHARIKI UGANDA YANGARA

0 comments
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Shirika la Taifa la Bima (NIC) Uganda  wakati  wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki kwa mchezo wa Netiboli, ambayo walicheza na JKT – Mbweni ya ya Tanzania jana jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo akimkabidhi Kombe la mshindi wa kwanza wa mashindano ya netiboli Klabu Bingwa Afrika Mashariki nahodha wa Timu ya NIC Uganda ,Obua Desire, baada ya kuifunga timu ya JKT Mbweni ya Tanzania magoli 47 – 30 jana jijini Dar es Salaam.
 

Wachezaji wa timu ya NIC Uganda wakifurahia ushindi uliopelekea kutetea ubingwa wao jana jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa Netiboli Tanzania (Chaneta) . Anna Kibira 9kushoto) akikabidhiwa majukumu ya Shirikisho la vyama vya mpira wa netiboli Afrika Mashariki (EANA) na Rais wa Shirikisho hilo Bi.Mildred Ajiemba Wanyama jana jijini Dar es Salaam. Tanzania imekabidhiwa kuongoza sekretariati ya shirikisho hilo kutoka nchi ya Kenya.
 

Endelea Kusoma >>

jk awasili nchini uingereza

0 comments
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Ruthanne Chipeta mara baada ya kuwasili jijini London leo Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza

Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Tobiko Kallaghe mara baada ya kuwasili jijini London leo Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipokewa mara baada ya kuwasili jijini London leo Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza

Endelea Kusoma >>

BREKING NEWZZ

0 comments
MAMIYA WA WASAFIRI WANAOTUMIA BARABARA YA MOROGORO IRINGA WAMEKWAMA KWA MUDA WA MASAA 6 KATIKA KIJIJI CHA DOMA KATIKA WILAYA YA MVOMERO MKOANI MOROGORO KUTOKANA NA DARAJA KUFUNIKWANA MAJI KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHI NZIMA DARAJA HILO LILILOFUNIKWA NA MAJI NA MATOPE  PAMOJA NANA BARABARA KUBOMOKA 
Endelea Kusoma >>
0 comments

WBO WATOA UJUMBE MASHALI AKIMGALAGAZA KASEBA KWA POINT

Mabondia Japhert Kaseba na Thomas Mashali wakipambana wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba kugombania ubingwa wa UBO Africa Mashali alishinda kwa Pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mtoto Zainabi 'Ikota' Mhamila katikati akiwa na mkata wa Ubingwa wa UBO Africa katika kona ya bondia Japhert Kaseba kabla ya kuanza kwa mpambano wao mkanda uho aliubeba kwa ajili ya kuwaonesha mashabiki pamoja na mabondia waliokuwa wakiwania mkanda huo

Mtoto Zainabu 'Ikota' Mhamila akiwa na mkata wa Ubingwa wa UBO Africa kabla ya mpambano kuanza katika kona ya Thomas Mashali ambaye alishinda na kuunyakuwa mkanda huo kwa kushinda kwa point

Mtoto Zainabu 'Ikota' Mhamila katikati akiwa na mkanda wa ubingwa wa UBO kabla ya kuanza mpambano huo uku Rais wa ngumi za kulipwa nchini Emanuel Mlundwa akiwakumbusha mabondia Thomas Mashali kushoto na Japhert Kaseba sheria zitakazotumika katika mpambano huo www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Kalage Suba kushoto akipambana na Alan Kamote wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Universal Boxing Organisation UBO katika ukumbi wa PTA Sabasaba Kamote alishinda kwa TKO ya raundi ya saba oicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Alan Kamote akiwa na ubingwa wa Universal Boxing Organisation UBO
Mtoto Zainabu 'Ikota' Mhamila katikati akiwa na mkanda wa ubingwa wa UBO kabla ya kuanza mpambano huo
Baadhi ya watoto ambao wanafanya mazoezi katika GYM mbalimbali walijitokeza kuamasisha ujumbe wa World Boxing Ordanization 'WBO'  kushoto nio Rashidi Matumla na kulia ni Promota kutoka tanga Ally Mwazoa ambaye anakuja kwa kasi uku akiwa na mapasmbano matatu mfululizo yatakayofanyika PTA Sabasaba

Mabondia wakongwe Jock Hamisi kushoto akipambana na Said Chaku wakati wa mpambano wao waliotoa droo

Katika kuhakikisha ujumbe wa WBO unazingatia mtoto Zainabu 'Ikota' Mhamila akipiga padi huku akisimamiwa na Emanuel Mlundwa



Zainabu 'Ikota' Mhamila
Endelea Kusoma >>

Saturday, March 29, 2014

majambazi wavamia na kupora fedha

0 comments
watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wmevamia duka moja la  vipodozi mtaa wa jangwani na mkunguni eneo la kariakoo jijini dar essalaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha na baadae kujeruhi watu 4 kwa risasi na kufanikiwa kutoroka eneo la tukio kwa kutumia pikipiki tukio hilo limetokea majira ya mchana leo radio one stereo 
Endelea Kusoma >>
0 comments

MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, alisema jana kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura zilizotumwa na wasomaji kumtafuta mwanamke bora ambaye ni nembo kwa taifa.
Prof. Anna Tibaijuka.
“Zoezi hili lilifanyika kwa muda wa miezi tisa, kuanzia Juni mwaka jana hadi Machi mwaka huu. Awali kabisa watu walitakiwa kutuma majina ya wanawake wanaowaona ni bora ili wapigiwe kura, watu waliitikia vizuri sana, kwani jumla ya majina 150 yalitumwa katika kipindi cha miezi miwili.
Dk. Asha Rose Migiro.
“Baada ya hapo majina hayo yakaandikwa katika magazeti na watu wakatakiwa kupiga kura ili kuwatoa wanawake ambao wanadhani hawakustahili tuzo hizo,” alisema Shigongo, ambaye kampuni yake inatoa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Amani, Risasi na Championi.
Alisema katika awamu ya kwanza ya miezi hiyo miwili, majina ya wanawake 20 yaling’ara na hivyo kuingia katika awamu nyingine ya kupigiwa kura, ambapo baada ya muda kama huo pia, wanawake kumi walipata alama nyingi na hivyo kuingia katika awamu ya tatu na ya mwisho.
Mh. Anne Kilango Malechela.
Alisema kwenye hatua hiyo ya mwisho, wanawake watano walipita ambao ni Ananilea Nkya, Anna Tibaijuka, Anna Kilango Malecela, Asha Rose Migiro na mama Maria Kham. Katika zoezi hilo, wanawake hao wenye mvuto katika jamii walichuana na mmoja wao, Nkya, kuondolewa baada ya kura zake kutotosha kwa ajili ya fainali,” alisema Shigongo.
Dk. Maria Kamm.
Kwa upande wake, mratibu wa Tuzo hizo, Luqman Maloto, alisema tukio hilo la kihistoria ambalo pia litashuhudiwa na wabunge wa Bunge la Katiba walio mjini Dodoma, litaambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali, akiwemo Linah,” alisema Maloto
Endelea Kusoma >>

BREKING NEWS

0 comments


Wtu 12 waliokuwa wanasafi kuelekea kwenye msiba kwa kutumia gari aina ya Toyota Pick
Up kwenda katika msiba wa jaama yao kumuhani msiba ulikuwa katika kijiji cha Kongei, Kata
ya Hedaru, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro wamekufa papo hapo na
wengine kujeruhiwa vibaya baada ya gari lao kugongwa na malori
mawili ya mizigo.

Ajali hiyo ambayo ilitokea katika muda wa usiku katika barabara kuu ya
-Moshi, Chalinze katika eneo la hedaru ilisabababisha magari matatu
ambayo ni Fuso lenye namba za usajili T 299 ANM likitokea Moshi kwenda
Dar es Salaam na Scania namba T 737 AKW lenye tela namba T 776 CCN
ambalo lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Moshi Kwa mujibu wa Kamanda Boaz.Aliwataja waliokufa katika ajali hiyo kuwa ni Stella John (45), Salma
Kizoka (33), Marry Senzige (49), Neema Daniel (52), Rehema George
(29), Sophia Mbike (51), Mama Ritta Kallani (55), Mama Kallan Stephano
(55), Kolina Mmasa (55), Bahati Daudi (25),
Farida Kiondo (24) na Maria John (33) wote wakazi wa Kongei,Kata ya
Hedaru,Tarafa ya Chome-Suji. Hata hivyo, miili ya marehemu hao
imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Same.TUTAWAJUZA  ZAIDI
SOMA MZUKA WA FUNGO BLOG
Endelea Kusoma >>
0 comments
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo (ijumaa)(usiku(picha na Freddy Maro)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe la ushindi mwakilishi wa kampuni ya Jambo plastics Bi.Rupa Suchak baada ya kampuni yake kuibuka mshindi katika shindano la kuwania tuzo ya Rais ya Mzalishaji bora wa mwaka 2013 katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana usiku(picha na Freddy Maro)

Endelea Kusoma >>

BREKING NEWSSS WATU 10 WAMEFARIKI DUNIA

0 comments
WATU 10 WAMEFARIKI DUNIA PAPO PAPO NA WENGINE  AMBAO IDADI YAO HAIJAJULIKANA  WAMEJERUHIWA BAADA YA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUGONGANA  NA MAGARI MENGINE 2 KATIKA ENEO LA HEDARU MAJENGO BARABARA YA MOSHI CHALINZE  RADIO ONE STEREO
Endelea Kusoma >>

Friday, March 28, 2014

0 comments

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa kwenye viwanja vya Nyerere mjini Dodoma  Machi 28, 2014.Wengine pichani ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira a Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)

Endelea Kusoma >>
0 comments

BINGWA WA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM

Bondia Hamisi Mputeni kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Victor Njaiti wakati wa mpambano wao katika mashindano ya klabu bingwa mkoa wa Dar es salaam juzi Njaiti alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Mohamed Chibumbuli kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdul Rashid  wakati wa mchezo wao katika mashindano ya klabu bingwa mkoa wa Dar es salaam Chibumbuli alishinda kwa pointi mchezo huo juzi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu
TIMU ya MMJKT jana imeibuka mabigwa wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam baada ya kuvipiku vilabu nane vilivyoweza kujitokeza kushiliki mashindano hayo

na kutawazwa kuwa bingwa wa mkoa baadhi ya mabondia waliocheza fainal za mashindano hayo ni Hamisi Mrisho wa 'MMJKT' alisambalatishwa kwa pointi na bondia Oscar Richard wa 'Urafiki'   na Omari Mohamed wa urafiki akichezea kichapo kutoka kwa mwenzie John Mwambinga, na bondia anaekuja kwa kasi ya ali ya juu akitokea timu ya Ashanti ya ilala kwa sasa akichezea timu ya 'MMJKT'  alifanikiwa kumpiga John Christian wa 'Mgulani' Saleh Abdallah wa mgulani alishindwa kutamba mbele ya  Undule Langson wa Magereza

nae Jacobo Agusteno wa 'mgulani' alishindwa kufulukuta mbele ya Bosco Bakari wa 'MMJKT' katika mpambano mwingine uliowakutaniasha Festo Ngabo wa Magereza alishindwa kutamba mbele ya Victor Njaiti wa 'mmjkt' nae bondia Mohamedi Chibumbuli wa magereza alimsambalatisha vibaya bondia Said Saleh wa 'mavituzi'
 akizungumzia maandalizi ya mabondia wa mkoa wa Mwenyekiti wa chama cha ngumi mkoa wa Dar es salaam 'DABA' Akaroli Godfrey amesema
kwa sasa mabondia wa timu ya mkoa wa Dar es salaam wapo kambini wakijiandaa na mashindano ya majiji yatakayoanza Kampala Uganda April 2 mwaka huu 

timu hiyo ambayo ipo na makocha wazoefu wakiongozwa na David Yombayomba ,Ferdnand Nyagawa mazoezi yanayofanyika kila siku mgulani JKT, wakisaidiwa na Mazimbo Ally na Kameda Antony 

timu hiyo ina maitaji mbalimbalio ikiwemo kambi pamoja na kupeleka timu Uganda ambayo itagalimu milioni 16 kwa ajili ya kwenda kwenye mashindano
hayo ambapo mpaka sasa wamenda sehemu mbalimbali ikiwemo makampuni na kwa watu binafsi

ata hivyo akuna mafanikio yoyote hivyo kuwaomba wadau wa mkoa wa Dar es salaam kujitokeza kusaidia timu hiyo ambayo inakabiliwa na mashindano ya majiji

--
 
nzania
Endelea Kusoma >>
0 comments

CAG1: Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza muhtasari toka kwa  Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za
 Serikali Bw. Ludovick Utouh kabla  ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leo


Endelea Kusoma >>

MVUA YAJLETA KIZAZA DAR

0 comments
MAFURIKOYA MAJI ENEO LA BARABARA YA CHADEMA BOMBOM ENEO LA CHADEMA LEO JIJININDAR ES SALAAM

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KAYTIKA BARABARA YA CHADEMA BOMBOM KIWSALANI JIJINI DAR ESA LAAM


MVUA MAENE KADHAA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO

Endelea Kusoma >>

BREKING NEWSSSS

0 comments
  TRENI YA MIZIGO YA SHIRIKA LA RELI IMEPATA AJALI  ENEO LA GODEGODE NA MTU 1 AMEFARIKI DUNIA NA WENGINE  5 HAWAJAPATIKANA  MPAKA SASA  CHANZO CHA AJKALI NIMVUA 


WATU 4 WAMEFARIKIDUNIA KUIFUATIAMVBUA KUBWA ZINAZIENDELEA KUNYESHA KATIKA MAENEO YA LINDINA MTWARA IKIWA PAMOJA NA KUKATIKA KWA DARAJ LA NYANGAO NA KUKATA MAWASILIANO KWASAA 7 
Endelea Kusoma >>

Sunday, March 23, 2014

KAMPENI ZA CCM CHALINZE ZAPAMBA MOTO

0 comments

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kijiji cha Mkenge, Kaya ya Fukayosi .
 Ridhiwani akimsalimia Mzee Salum Khalifan baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi, leo
 Mandhari kwenye mkutano wa kampeni za CCM Kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi, leo
 Ridhiwani akiteta jambo  na kijana wa jamii wa wafugaji baada ya mkutano wake katika kijiji cha  Mkenge, kata ya Fukayosi
 Ridhiwani akisalimiana na Kina mama baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi
Dokii wa kijana Omari Seseme wa kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi
 7. vijana wakimsangilia Riz baada ya mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha Mkenge Kata ya Fukayosi

Othman Muchuzi wa Michuzi Media Group akizungumza na mzee wa Kijiji cha Kidomole, kaya ta Fukayosi wilayani Bagamoyo. Othman ni miongozi mwa waandishi na Bloggers walioko kwenye kampeni za Ridhiwani Kikwete kuwania jimbo la Chalinze. Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog

--
Endelea Kusoma >>

BREKING NEWSSS AKTWA MAPANGA NA KUFARIKI

0 comments
HABARI KUTOKA KIJIJI CHA CHAKAM MKOANI MTWARA ZINASEMA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HICHO KATIKA KATA YA MWENGE AMEUAWA KWA KINYAMA NA WATU WASIOJULIKANA NA KUMKATA MAPANGA  USIKU WA KUAMKIA LEO AFISA MTENDAJI HUYO ALIFAHAMI KWA LA SELEMANI KONI (32) KATIKA HALMASHAURI YA MASASAI KWA MUJIBU WA AFISA MTENDAJI WA MWENGE MERRY AMESEMA TUKIO HILO LILITOKEA NYUMBANI MAREHE AKIWA AMEPUMZIKO

MTOTO WA MAREHEM MIAKA 6 ALIEFAHAMIKA KAMA MAKALA ALIKUWA ANAPIGA KELELE KUOMBA MSAADA KWA MAJIRANI BAADA YA KUONA MWILI WA MAREHEBU BABA YAKE UMELALA NJE YA NYUMBA YAO HUKU KUKIWA NA KITANDA PEMBENI CHA KAMBA AKIVUJA DAMU

A
TUTAWALETE HABARI ZAIDI
Endelea Kusoma >>
0 comments
kikosi cha Coast Union
 Timu ya Coast Union marufu wagosi wa kaya watakuwa ugenini katika uwanja wa Taifa kucheza na wenyeji wao Simba Sports kati pambano la ligi kuu la vodacom katika kuwani poit tatu muhim kwa kila timu pambano hilo ambalo ni muhim kwa timu zote mbili  
Simba sports

Endelea Kusoma >>

Saturday, March 22, 2014

0 comments

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Yanga imeshinda mabao 3-0 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora mchezo uliochezwa leo mkoani  Tabora magoli yamefungwa na tegete 2 na Hisen javu moja na kupata poit tatu muhim
Endelea Kusoma >>
 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu