Wednesday, April 30, 2014

UKAWA ZANZIBAR INATISHA WAITEKA ZANZIBAR KIWANJA CHA KUBANDA MAITI LEO

0 comments
WAKAZI WA KUTOKA KISIWA CHA TUMBATU WALIFIKA KWENYE UKAWA NA MABANGO YAOKIWANJA CHA KIBANDA MAITI

MUASISI MZEE NASORO MOYOALIFIKA KWENYE UKAWA

MAKAMU WA KWANZA WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI AKIKUMBATIANA KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROD SLAA KULIA KATIBU MKUU WA NCCRMAGEUZI MUSONA

MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR SHARIFF HAMAD AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU CHADEMA DR  SLAA

KATUIBU MKUU WA CUF MAALIM SEFU HAMADI AKIWASALIMIA WANANCHI
WANANCHI WAKISHANGILA

WANANCHI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA UKAAWA

WENYEVITI WA UKAWA  JAMES MBATIA NCCR MAGEUZI KUSHOTO PROFES IBRAHIM LIPUMBA CUF KATIKATI NA KULIA NI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE CHADEMA WAKIWASALIMIA WANANCHI

ASKARI  WA KIKOSZI CHA FFU AKIWA KATIKA ULINZI

WANANCHI WAKIWA NA MABANGO YENYE UJUMBE WA KUONYESHA SERIKALI TAU

EMMANUEL MAKAID AKIWA ANASALIMIANA NA MZEE NASORO MOYO MUASISI

WANANCHI WAKIWA MABANGO YAO

MWANANCHI HUYU AKIONYESHA PICHA ALIYOIWEKA MGONGONI KWA YA RAIS MSTAAF WA ZANZIBAR NAYE ANATAKA TATU

Endelea Kusoma >>

Tuesday, April 29, 2014

BREAKING NEWS; DIDIE KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM F

0 comments
BREAKING NEWS; DIDIE KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC

MCHEZAJI WA KLABU YA YANGA DIDIE KAVUMBAGOU AKIWEKA WINO TAYARI KWA KUWEKA DOLE GUMBA KATIKA FOMU ZA MKATABA  NA KLABU YAKE MPYA YA AZAM FC LEO

Endelea Kusoma >>

BREKING NEWZZZ

0 comments
WATU 14 WA KIJIJI KIMOJA AKIWEMO ASKARI  1 WA USALAMA BARABARANIWAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA BASI LA SUMMRY WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA
Endelea Kusoma >>

Monday, April 28, 2014

BREKING NEWZZZZ

0 comments
ZAIDI YA ABIRIA WAPATAO 55 WALIOKUWA WANASAFIRI NA BASI LA HOOD KUTOKA  MBEA NA KWENDA MKOANI ARUSHA WAMENUSURIKA KIFO BAADA YA BASILO KUWAKA MOTO NA KUTEKETEA KABISA NA MOTO KATIKA KIJIJI CHA KIJJIJ CHA KILOLELE  CHALINZ
Endelea Kusoma >>

WAKAAZI WA MAKOKA NA ADHAA YA DARAJA LA MAKOKA

0 comments


 WAKAZI WA  MAKOKA NA WA KIBANGU HIVI SASA WAKO KATIKA HATARI YA KUTOPATA HUDUMA MUHIMU KUTOKANA DARAJA AMBALO LIMEHARIBIKA NA MVUA ZA MASIKA KWA HIYO WAKAZI HAO HIVI SASA WANAPITA KWA TAABU BAADA YA VIJANA WASAMARIA KUJITOLEA KWA KUJENGA WAKITUMIA MAGOGO YA MNAZI NA NGUZO ZA UMEME ILI KUWAPATIA HUDUMA WAKAZI HAO KWA KUWATOZA SHILLINGI MIA MBILI KWA MTU NA WANAFUZI WA SHULE NI BURE DARAJA HILO NI KIUNGO KIKUBWA WAKAZI WA SEHEM MBILI KATIKA WILAYA YA ILALA AMBAKO NI MAKOKANA WILAYA YA KINONDONI KIBANGU LIKO KWENYE MPAKA WA WILAYA HIZO MBILI PICHA YA JUU INAONYESHA MWENDESHA BODABODA AKIJARIBU BAHATI YAKE  CHINI WAKAZI WA MAKOKA WAKIPITA WANAOHUSIKA WANAONA WAJITAHIDI KAMA MMETENGENEZA LA BAGAMOYO NA KIZINGA SASA ZAMU YAO WAANGALIE  WAKAZI WA MAKOKA WAKIPAKIPANDA USAFIRI WANATEREMKA KIBANGU MWISHA NA KUANZA KUTEMBEA KWA MIGUU  HATA WALE WENYE MAGARI WANALAZIMIKA KUPITIA  MAKUBURI , AU MIGOMBANI  NDIO UFIKE KUJA KUTOKEA TABATA MAWENZI KAMA WALIVYOKUTWA NA MZUKA WA FUNGO BLOG


HILI NDILO DARAJA LA MAKOKA ADHA HII MPAKA LINI

Endelea Kusoma >>

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS PROFESA ANNA TIBAIJUKA

1 comments
Codes
Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku.
Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini hapo.
Hawa ndio Mama Shujaa wa Chakula ambao jana usiku wameingia Rasmi katika Kijiji Cha Maisha Plus
Baadhi ya wageni waalikwa waliofika kushuhudia Kukaribishwa Rasmi kwa Mama shujaa wa Chakula katika Kijiji cha Maisha Plus.
Mshindi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sister Anna Mwasu wa tatu kutoka kulia akiwa katika sherehe za kuwakaribisha mama Shujaa wa Chakula ambao  wameingia rasmi katika Kijiji cha Maisha Plus Jana.
Mwakilishi kutoka Forum CC Faidhari akizungumza jambo wakati wa kuwakaribisha Mama Shujaa wa Chakula katika Kijiji cha Maisha Plus.
Teresa Yates Mwakilishi kutoka OXFAM akitoa salama za Shukurani kwa wadau wote
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmed Kipozi akiwakaribisha Rasmi wageni wote katika Kijiji cha Maisha plus pia kumkaribisha Mgeni Rasmi Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi  ili aweze kutoa hotuba yake
Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa katikati akitoa hotuba yake fupi wakati wa Sherehe za kuwakaribisha Mama Shujaa wa Chakula katika Kijiji cha Maisha Plus, katika Hotuba hiyo aliwapongeza waandaaji na wabunifu wa Shindano hilo, pia Grow kupitia OXFAM kwa kuungana na Maisha Plus kuwaleta Mama Shujaa wa Chakula, Mwisho aliahidi kuongeza Milioni 5 kwa Mama Shujaa wa Chakula atakaye nyakua ushindi, Kutoa Milioni mbili na nusu kwa Mama Shujaa wa Chakula aliyepita ili zikamsaidie katika kilimo na Mwisho Kutoa Milioni Mbili kwa Washiriki wa Shindano la Maisha Plus ambao sasa wamebakia 16 mpaka mwisho wa Shindano Tarehe 18.05.2014
Mmoja wa washiriki wa Maisha Plus akisoma Jina la Mama yake ambaye atakuwa naye katika Kipindi hiki kilicho bakia cha Shindano la Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula.

Vijana na Washiriki wa Maisha Plus wakiwa na Mama zao walezi ambao ndio wameingia Rasmi kijijini Jana
Huyu Ndiye Mama Shujaa wa Kwanza kupata nafasi ya Kuwa Markia wa Kijiji cha Maisha Plus Mary J. Mwanga, na wa kwanza kulia ni Rais wa Kijiji cha Maisha Plus Abisai Caron kutoka kenya hapa akiwa anavishwa kofia ya utambulisho na Epheta Msiga Meneja Miradi kutoka DMB
Picha ya Pamoja Mgeni Rasmi  Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi, Wakina Mama Shujaa wa Chakula, Vijana wa Maisha Plus pamoja na wadau mbalimbali waliofika katika sherehe za kuwakaribisha Mama Shujaa wa Chakula  Kijiji cha maisha Plus
Mkurugenzi Mtendaji wa DMB ambao ndio waendeshaji wa Shindano la Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula Ally Masoud(Masoud Kipanya) Akitoa utaratibu wa jinsi Akina mama Shujaa wa Chakula watakavyo ishi na vijana hao katika kijiji hicho
Mama  Shujaa wa Chakula wakipata maelekezo Mbalimbali juu ya Kijiji Hicho
Moja ya Bendi Matata kutoka Bagamoyo wakiwa wanatumbuiza nyimbo Nzuri wakati wa kuwakaribisha Mama Shujaa wa Chakula katika Kijiji Cha maisha Plus

Wakipokea maelekezo kadha wa kadha
MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014
Endelea Kusoma >>

Sunday, April 27, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI KITUO CHA MAGONJWA YA MOYO CHA MUHIMBILI

0 comments
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo 

 Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo

 Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo 



Endelea Kusoma >>
0 comments

BONDIA THOMAS MASHALI APATA AJARI

Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni picha na 
JERAHA LINALO ONEKANA MKONONI
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni 
THOMAS MASHALI
Bondia Thomas Mashali wa tatu kushoto akiwa na baadhi tya ndugu na jamaa akiuguza majeraha ya vidonda baada ya kupatas ajari hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Thomasi Mashali amepata ajari ya gari mara baada ya kuangukia mtaloni akiwa anaendesga gari aina ya vitz lenye namba za usajili T 777 BMW ajari hiyo iliyotokea maeneo ya kimara baruti siku ya april 20

wakati akitokea manzese kwenda nyumani kwake kimara mwisho akielezea tykio zima la ajari hiyo Mashali 'Alisema nilikuwa naendesha mwenyewe nikakutana na tuta nikaruka tuta nilivyomaliza tu tuta kumbe mbele yangu kulikuwa kumefungwa kutokana na matengenezo ya barabara ya morogoro  ile nataka kukwepa uzioambapo nilipo kwepea nika ingia mtaloni moja kwa moja

katika gari hiyo tulikuwa wawili na mdogo wangu George Maluma ambaye ajaumia chochote katika ajari hiyo

akizungumzia mchezo wake unao mkabili ambao ulikuwa ufanyike siku ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba kwa ajili ya kumkabili Kalama Nyilawila, mashali alisema kuwa kwa sasa sifanyi mazoezi kwa kuwa nauguza majeraha yangu ya kuchubuka na kutoka kwa ngozi katika mkono wangu wa kulia na ubavuni mwangu

namwambia Kalama kuwa kafala laker limegonga mwamba hivyo akae tayali kwa kipigo cha mbwa mwizi kama nilivyo mfanya mwenzie Mada Maugo

kwani na yeye alikuwa anachonga sana lakini mwisho wa siku nikachukuwa ubingwa kupitia kwake yeye mana mpambano huu nilikuwa nausubili kwa hamu kubwa sana leo kesho

mbali na majeraha haya napenda kuwashukuru baadha ya watu walionisaidia  katika tukio zima la mimi kupata ajari na kunisaidia kutoa gari bondeni mpaka sasa ipo katika mikono salama ingawa imearibikwa kwa sababu ya kubondeka

mbali na hivyo nashukuru  promota Ally Mwazoa kwa kuwa na moyo wa huruma na kuhamua kusogeza mbele mpambano huo mpaka siku utakapotangazwa tena pia naomba watanzania waniombee duwa kwani naenderea vizuri kutibu majeraha yangu 
Endelea Kusoma >>

SHEREHE ZA MUUNGANO ZILIVYOFANA KWA MBWEMBWE

0 comments
WAPANDA BAISKELI WAKIONYESHA UMAHILI WAO

DAIMONDI NA WASANII WAKIIMBA WIMBO WA MUUNGANO

WASANII WAKICHEZA WAKATI WAKIIMBA WIMBO MAALUM WA MUNGANO

VIJANA WA HALAIKI

WATOTO WA HALAIKI

WATOTO WA HALAIKI

MAKONDOO WAKIRUKA  JUU

KOMANDO AKIMPIGA KOMANDO MWENZAKE KWA UBAO BILA WASIWASI

MAKOMANDO WA JESHI LA ULINZI WAKIONYESHA ONYESHO LA LA KUPAMBANA NA ADUI KWA KARATI


MAGARI YA SILAHA YA KIVITA

MAGARI YAKIBEBA SILA ZA KIVITA

MAGARI YA SILAHA ZA KIVITA

BAADHI YA WANANCHI WALIOFIKA KWENYE UWANJA WA UHURU KUANGALIA MAONYESHO YA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNAGANO HUKU NDEGE  YA RAIS IKIPITA NA KUSINDIKIZWA NA NDEGE 2

MMOJA YA MASKARI WA MIEMVULI WAJESHI LA ULINZI AKITEREMKA NA KUTOKA KWENYE NDEGENA KUTUA 


MMOJA YA MASKARI WA MIEMVULI WAJESHI LA ULINZI AKITEREMKA NA KUTOKA KWENYE NDEGENA KUTUA

MOSHI HUU NI KUASHIRIA WANAJESHI WA MIEVULIA KUPATA NAFASI YA KUJUA HALI YA HEWA AMBAYO ITWAJULISHA KUTUA KWENYE UWANJA WA UHURU

KIKUNDI CHA SANAA KUTOKA ZANZIBAR

MAANDAMANO YA WAPANDA BAISKELI NA PIKIPIKI

VIJANA WA HALAIKI

WACHEZA BAISKELI WAKIONYESHA UMAHILI WAO

WASANII WAKIPITA MBELE YA RAIS JAKAYA KIKWETE AMBO WALIIMBA WIMBO WA PAMOJA WA MUUNGANO

RAIS JAKAYA KIKWETE KULIA AKIWATAMBULISHA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOFIKA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO

ONYESHO LA WAFUNGWA  WA GEREZANI KUFANYAFUJO NA KUWAPIGA ASKARI WA MAGEREZA

MASHABIKI WA MPIRA WAKIKIMBILIA KATIKA UWANJA WA TAIFA MARA BAADA YA RAIS KIKWETE KUTANGA WATU WAINGIE BURE KUANGALIA PAMBANO LA MPIRA KATI YA TAIFA STARS NA BURUNDI 

MASHABIKI WA MPIRA WAKIKIMBILIA KATIKA UWANJA WA TAIFA MARA BAADA YA RAIS KIKWETE KUTANGA WATU WAINGIE BURE KUANGALIA PAMBANO LA MPIRA KATI YA TAIFA STARS NA BURUNDI n

ONYESHO LA NA MWIZI AKIKAMATWA NA MBWA WAKATI AKIMBIA

BAADHI YA WATU MBALIMBALI WALIOFIKA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO

Endelea Kusoma >>
 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu