Tuesday, January 27, 2015

JESHI LA POLISI INAMSHIKILIA MWENYEKITI WA CHA MA CHA WANANCHI CUF PROFESA IBRAHIM LIPUMBA PAMOJA NA WAFUASI WAPATAO 32 KWA MADAI YA KUFANYA MAANDAMANO BILA KUWA NA KIBALI CHA POLISI MAANDAMANO YANAASHIRI KWA CHAMA HICHO KUWAKUMBUKA WENZAOWALIOPOTEZAINI MAISHA KATIKA KURUPUSHANI YA KID

wafuasi wa chama cha CUF  WAKIWA KATIKA MAANDAMANO WAKIELEKEA MBAGALA ZAKIM MAANDAMANO HAYO NI KUFANYA KUMBUKUMBU WALIOKUFA KATIKA RAMSHA ILIYOTOKEA MBAGALA


MAMA HUYU AKIWA NA MTOTO WAKE MKAZI WA MBAGALA AKIONGEA NA WANDISHI KUHUSU MSHITUKO ULIWAPATA BAADA JESHI LA POLISI KUPIGA MABOM MACHOZI KUWATAWANYA WAFUASI WA CUF


kiongozi wakizozana na askari wa jeshi la polisi akizozana na kiongozi wa CUF

mmoja wa wafuasi chama cha CUF waliokuwa wanataka kufanya maandamano bila kibali
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu