Friday, January 30, 2015

BREKING NEWZZZZZZZ KIMBUNGA CHAU 2 NA WENGINE ZAIDI YA 72 WAMEJERUHIWA NA NDEGE YA WAJUMBE WA KAMATI YA MAAFA ILIYOKWENDA HUKO HAIJULIKANI ILIPO LEO

Watu wa 2 wamefariki dunia na wengine 72 wamejeruhiwa vibaya kutokana  na kimbuga kilichotokea leo katika kisiwa cha Goziba wilayani Bukoba mkoani kagera Kimbunga hicho kilichokuwa na upepo mkali na kuharibu miundombinu ya barabara na hali ya hewa ilikuwa mbaya sana na kusababisha vifo hivyo na wengine kujeruhiwa vibaya na baadhi yao wameumia katika sehemu ya vichwa na sehemu mbalimbali wakati huo huo Wajumbe wa kamati ya mafa ambao walikuwa katika ndege kuelekea huko katika kimbunga kuangalia waliopata maafa hayo kimbunga imepoteza mwelekeo na haijulikani ilipo mpaka sasa kwa mujibu wa taarifa ya habari ya Televisheni ya Star tv ENDELEA KUANGALI MZUKA WA FUNGO BLOG
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu