Wednesday, January 28, 2015

MAMA MWENYE MAPACHA SITA AKABIDHIWA NYUMBA

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Bank ya Covenate Balozi Salome sijaona akizindua nyumba ya  Salome Mhando
 ambaye Alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto mapacha  mfululizo hadi kufikia sita na kukosa mahapa pa kuishi na ndipo banki hiyo imemnunulia nyumba na kukabidhiwa
Mwenyekiti wa bodi ya banki ya Covenat Salome Sijaona akimkabidhi funguo bara baada ya uzinduzi wa nyumba aliyokabidhiwa Salome Mhando ambaye alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto hadi kufikai sita na kukosa mahala pa kuishi ndipo banki hiyo imemnunulia nyumba na kumkabidhi wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa banki hiyo Sabetha Mwambenja

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu