By Ombeni Sefue:.
Mabadiliko ya Mawaziri
.Mawaziri wawili
wamejiuzulu
i) Ardhi-Tibaijuka
ii)Nishati na
madini-Sospeter Muhongo
Walio teuliwa
1. George Simbachawene-
Waziri Nishati
2.Mary Nagu-Waziri wa
Nchi mawasiliano na Uratibu
3.Christopher
Chiza-Waziri uwezeshaji na Uwekezaji
4.Haryson
Mwakyembe-Ushirikiano wa afrika mashariki
5.William Lukuvi-Ardhi Nyumba na
Makazi
6.Steven Wasira-Kilimo
chakula na Ushirika
7.Samwel Sitta -Wizara ya
Uchukuzi
8.Jenista Muhagama-Sera
na uratibu wa Bunge
MANAIBU Waziri
Masele -OMR Muungano
Angela Kairuki - Ardhi Nyumba na Makaazi
Ummy Mwalim - Katiba na Sheria
Anna Kilango- Elimu Mafunzo ya ufundi
Mwijage - Nishati na Madini
0 comments:
Post a Comment