Thursday, March 26, 2015

TASWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO



Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D akifuatilia kwa makini mafunzo ya uandishi wa habari za michezo zilizoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA zilizofanyika Dar es salaam jana na kudhaminiwa na Times Radio  na Valentino Royal Hotel
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na
Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu ... (RT)

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana


Baadhi ya waandishi wa habari za michezo wakifatilia mafunzo hayo
Waandishi wa habari wakipiga msosi wa mchana
Kocha wa Kimataifa wa mchezio wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akisalimiana na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu ... (RT) na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi
 

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na
Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu ... (RT)
Rajabu Mhamila 'Super D akifuatilia kwa m,akini mafunzo ya uandishi wa habari za michezo zilizoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA zilizofanyika Dar es salaam jana na kudhaminiwa na Times Radio  na Valentino Royal Hotel
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu