Home
»Unlabelled
» MAELFU YA RAIA WAPYA WA TANZANIA WAPEWA VYETI VYAO KATIKA MAKAZI YA MISHAMO, MPANDA
MAELFU YA RAIA WAPYA WA TANZANIA WAPEWA VYETI VYAO KATIKA MAKAZI YA MISHAMO, MPANDA
|
1.
Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick
Nisajile akizungumza na maofisa wake (kushoto) kabla ya kuanza kugawa vyeti vya
uraia kwa raia wapya wa Tanzania kijijini Ilangu katika Makazi ya Mishamo,
yaliyopo wilayani ya Mpanda Vijijini, Mkoawa Katavi.Zaidi ya watu152,572katika
Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka
1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka
2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo,
Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti
hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali
ya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi
(UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo.Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
|
|
1.
Afisa Uhamiaji, Philimon Msenya
(kushoto) akichukua alama ya vidole kwa raia mpya wa Tanzania, Bukuru Yohana
kabla ya kupewa cheti chake cha uraia katika ugawaji wa vyeti hivyo kwa raia
wapya zaidi ya 52,565 katika Makazi ya Mishamo yaliyopo wilayani ya Mpanda
Vijijini, Mkoa wa Katavi. Zaidi ya watu152,572 katika Makazi ya Mishamo,
Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba
uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010,
wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi
ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na
sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya
Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR)
katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
|
|
Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile
akizungumza na wazee wa Kijiji cha Ilangu katika Makazi hayo, ambao ni raia
wapya wa Tanzania wakati wakisubiria kupewa vyeti vyao vya uraia. Wazee hao
wametengewa sehemu maalum ili kupewa kipaumbele kutokana na umri wao ili waweze
kupewa vyeti hivyo kwa uharaka zaidi. Zaidi
ya watu152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa
wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kam
1.
raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo,
Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti
hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo
Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia
Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
a |
|
1.
Raia wapya wa Tanzania wa Kijiji
cha Ilangu katika Makazi ya Mishamo, wakiwa wameweka foleni ndefu ili waweze
kugawiwa vyeti vyao vya uraia kijijini hapo, wilayani Mpanda Vijijini, mkoani
Katavi, leo. Zaidi ya watu152,572katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu
waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo
kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari
wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa
Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika
la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha
na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
|
1.
Afisa Operesheni wa Idara ya
Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Stephen Daniel(kushoto) akiwaelekeza
raia wapya wa Tanzania katika Kijiji cha Ilangu, Makazi ya Mishamo, kuwasilisha
vyeti vya kliniki vya watoto wao ili waweze watoto wao kuwekwa kwenye
kumbukumbu ya Serikali. Watoto wote waliozaliwa baada ya mwaka 2010 ni raia wa
Tanzania wa kuzaliwa, hivyo hawatapewa vyeti vya uraia kama wanavyopewa wazazi
wao. Zaidi ya watu152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu
waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo
kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari
wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa
Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika
la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha
na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
|
1.
Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick
Nisajile (kulia) akiwapanga watoto wa Kijiji cha Ilangu katika makazi hayo
yaliyopo wilayani Mpanda Vijijini, ili watoto hao pamoja na wazazi wao waweze
kupewa vyeti vya uraia. Zaidi ya watu152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na
Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na
kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea
vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya Katumba na
Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu
ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana
na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa
vyeti hiyo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
0 comments:
Post a Comment