Wednesday, April 1, 2015

YANGA KUONDOKA IJUMAA

kikoasi cha timu ya Dar Es Salaam Youngs African {{YANGA} ,itaondoka siku ya Ijumaa kwa ndege ya Serikali kwa ajili ya mchezo wa  kimataifa  wa marudiano wa kuwani kombe la shirikisho utakaofanyika nchini zimbabwe  katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar Es Salaam katika uwanja wa taifa yanga ilishinda kwa mabao 5-1 tunawaombea safari njema ushindi mzuri  msibwete  daima mbele nyuma mwiko
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu