Home
»Unlabelled
» MKUTANO WA CCM DODOMA
MKUTANO WA CCM DODOMA
|
wenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini
Dodoma leo, May 24, 2015. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar,
Dk. Ali Mohammed Shein, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip
Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo) |
|
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini
Dodoma Nkoromo)
|
|
.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, wakiwa kwenye kikao hicho. mstari
wa mbele kutoka kushoto ni, Dk. Salim Ahmed Salim, Shamsi Vuai Nahodha na
Katibu Mkuu wa CCM, mstaafu, Wilson Mukama |
|
.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu
Nchemba na Spika wa Bunge Anna Makinda.
|
|
.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Bernard Membe na Nazir Kalamagi
wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha NEC kuanza.
|
|
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM, Usi Yahya Haji kutoka Kaskazini Unguja, akimsalimia
mjumbe mwenzake, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakati
wakijiandaa kuingia ukumbini kwenye Kikao cha NEC mjini Dodoma |
|
.
Mjumbe wa NEC, Amina Salum Ali akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba
nje ya ukumbi, kabla ya kikao cha NEC kuanza leo. Kushoto ni Mjumbe wa NEC Asha
Abdallah Juma.
|
|
.
Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa
UVCCM Taifa, Hamis Sadifa, kabla ya kikao kuanza. Kulia ni Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
|
|
. Wajumbe wakiwa ukumbini wakati wa mkutano huo
|
|
. Wajumbe wakiwa ukumbini wakati wa mkutano huo
|
0 comments:
Post a Comment