2


SI LA KULIKOSA

Friday, May 8, 2015

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA


 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba wilayani Karatu mkoani Arusha kwa baadhi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji hicho, ambapo Kampuni hiyo ya Bia ilitoa vifaa vyenye thamani ya Sh.Milioni 22.

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22. Afisa Uhusiano wa TBL Dorris Malulu akizungumza na baadhi ya viongozi Serikali ya Kijiji pamoja na uongozi wa Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani Arusha wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya kituo hicho vyenye thamani ya Sh. Milioni 22, Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin na kushoto kwake ni Meneja Mradi Kilimo cha Shayir Dk. Basson Bennie.

 Mwananchi wa Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ambacho ni maarufu kwa ulimaji wa zao la Shayiri akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin mara baada ya kukabidhi Kituo  cha Afya cha Kijiji hicho vifaa mbalimbali vya matibabu.
 Maofisa wa TBL wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo wilayani Karatu, katikati ni Afisa Uhusiano Dorris Malulu, kushoto kwake ni Mkurugenzi Jarrin na kulia kwake ni Meneja mradi wa Kilimo cha Shayiri Dk. Basson

 Mkurugenzi wa Kiwanda cha TBL Robert Jarrin akiwa anangalia baadhi ya vifaa na Mganga wa Hospitali ya wi;aya ya Karatu Dk. Lucas wakati wa makabidhiano ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba Kata ya Mbulumbulu.
 Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba Damian Anatholi akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya Kituo cha Afya cha Kijiji hicho ambacho ni maarufu sana kwa kilimo cha Shayiri.

 Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba Damian Anatholi akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrinwakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya Kituo cha Afya cha Kijiji hicho ambacho ni maarufu sana kwa kilimo cha Shayiri.

 Mganga wa Mfawidhi wa wilaya ya Karatu Dk. Lucas akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya hospitali kwa ajili ya kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani Arusha.

 Mkurugenzi wa TBL Robert Jarrin akiwa pamoja na Meneja Mradi wa Kilimo cha Shayiri Dk. Basson wakitembelea jengo la Kituo cha Afya cha Kijiji cha Simba kilichopo Kata ya mBULUMBULU wilayani Karatu wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali kwenye kituo hicho.
Mganga wa wilaya ya Karatu Dk. Lucas akibadilishana na mawazo pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali kwa Kituo cha Afya cha Kijiji cha Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani Arusha.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu