2


SI LA KULIKOSA

Tuesday, June 2, 2015

AJALI YA TRENI KUGONGA TANKI LA MAFUTA BUGURUNI JIJINI DAR LEO

baadhi ya wakazi wa jiji wakivuka katika mabehewa ilikupita baada ya  treni kugonga tanki la mafutatank la mafuta lililosombwa na trenieneo la buguruni
mkaazi huyu akipita chini ya uvungu wa treni  ilikupita upnde wa pili kutokana treni kuziba njiaeneo la buguruni

hivi ndivyo tanki la mafuta lilipokumbana na treni ya mizigo iliyokuw inatokea ubungo

jinsi ya kichwa cha treni kilivyoibamiza tanki la mafuta


kichwa cha treni kikiwa katika mchanga

baadhi ya wananchi waliofika kwenye tukio na wengine kutafuta namna ya kupita kuingia buguruni

watu wakipita juu ya mabogi ya treni ili kupita upande wa pili

badhii ya watu mbalimbali wakipita juu ya mabogi


mkaazi huyu akisaidiwa kuvushwa

wakazi wakidanda juu ya mabogi ili kupita upande wa pili

wakipita chini ya mabogi ili kutokea upande wa pili
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu