2


SI LA KULIKOSA

Friday, June 5, 2015

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilibrod Slaa,  akiwasalimia wanachama, wapenzi, wafuasi na mashabiki wa chama hicho, wakati akiwasili katika ofisi za wilaya za chama mjini Mpanda, mkoani Katavi akiwa katika mwendelezo wa ziara yake maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi ambako mbali ya kukagua zoezi la uandikishaji wa wapiga kura amekuwa akihamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu huku pia akikagua maandalizi ya chama kinavyojipanga kuelekea uchaguzi huo.

Dkt. Slaa, akihutubia wananchi
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu