Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot
alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai
2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo
jijini Sydney
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la lililoandaliwa kwa heshima yake huku
akipigiwa mizinga 21 alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo
jijini Sydney
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiutambulisha ujumbe wake kwa Waziri Mkuu wa Australia
Mhe. Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe
28 Julai, 2015 katika makao Makuu
ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa
katika mazungumzo rasmi na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot asubuhi ya
tarehe 28 Julai 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo
jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa
chakula cha mchana kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015
baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na
Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa Peter Cosgrove.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika
kitabu cha wageni alipowasili kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28
Julai 2015 na kukutana na kufanya mazungumzo na
Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa Peter Cosgrove aliyesimama nyuma
yake pamoja na Mama Salma Kikwete na Mke wa Gavana huyo Mama Cosgrove.
0 comments:
Post a Comment