Monday, July 27, 2015

WATU 4 WAMEFARIKI DUNIA BADA YA BASI KUGONGA TRENI YA MIZIGO TABORA LEO

Watu wanne wamefariki dunia na wengine kadha kujeruhiwa  katika ajali iliyotokea leo huko mkoani Tabora ajali hiyo imetokea baada ya basi la abiria lenye namba za usajili T568  ADB lililokuwa linatoka Tabora kuelekea Uyuwi na kugonga Treni ya mizigo iliyokuwa inatoka kigoma kuelea Tabora kwa mujibu ya mashuhuda wanasema dereva wa basi ambaye alitambulika kwa jina la Kaonjo Idd alipofika katika kivuko cha treni bila kuangalia huku na huku akaendesha basi hilo ndipo treni hiyo ya mizig o inapita katika njia yake na basi hilo kuigonga treni  na kupinduka
 Waliopoteza maisha ni wanaume  watatu na mwanamke mmoja Dereva wa gari hilo amekimbia   kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV  ENDELEA  KUANGALI BLOG YA MZUKA NA KUWAJUZA ZAID
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu