Sunday, August 2, 2015

BREKING NEWZZZZZZZZZZZ MAKONGORO MAHANGA AHAMIA CHADEMA BAADA YA KUTANGAZA LEO


Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho, wakati akitangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Agust 2/2015
Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari

 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu