Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akitia saini kitabu baada ya kuingia ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Novemba 23, 2015. Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florence Tiruka.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimsikiliza Katibu Mkuu wa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florence Turuka ambaye alitoa taarifa ya
jumla kuhusu Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya Waziri Mkuu kuwasili Ofisini
na kujitambulisha kwa watumishi wa Ofisi yake Novemba 23, 2015. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa
Ofisi ya Waziri Mkuu,Dkt Florence Turuka baada ya kuwasili Ofisini
Novemba 23, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea shada la maua kutoka kwa kaimu
Mkurugenzi wa Utawala wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Savera Kazaura (kulia)
Baada ya kuwasili ofisini kwake Novemba 23, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu
wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt, Florence Turuka. (picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florence Turuka wakiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya
kuzungumza nao katika mkutano wa kujitambulisha alioufanya baada ya
kuwasili ofisini kwake Novemba 23, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment