2


SI LA KULIKOSA

Saturday, February 13, 2016

MAFURIKO KATIKA WILAYA YA RUFIJI MKOANI PWANI ENEO LA MTO WA MUHORO

 WAKAZI WA VIJIJI VYA MTANGA ,MPOKA  MBWARA WAKIWA KATIKA MTUMBWI KUELEKEA MAENEO YAO WAKITOKEA MHORO
NYUMBA ZA KADHAA PAMOJA NA NYUMBA ZA WAGENI  ZINAZONEKANA ZIMEJAA MAJI  MHORO 

NYUMBA INAONEKANA IMEZINGIRWA NA MAFURIKO  MHORO

 HIVI NDIVYO HALI ILIVYO RUFIJI MAFURIKO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA
MAGARI YAENDAYO KATIKA SEHEMU ZA KIPOKA,MTANGA, MBUCHI.,RUMA YAMEKWAMA KUTOKANA NA DARAJA LA MUHORO KUFUNIKWA NA MAFURIKO KWA MAGARI YANAISHIA KATIKA STENDI YAMHORO PAMOJA ABIRIA WANASHINDWA KUVUKWA KWA MITUMBWI 

MTUMBWI UKIWA NA ABIRIA WAKAAZI KUTOKA KATIKA VIJIJI MBALIMBALI  WAKIVUKA 

 MTUMBWI UKIWA NA WAKAZI WAKITOKA KWENYE VIJIJI

 WAKIVUSHWA

BAADHI YA WANANCHI WAKIWA NA KILOBA CHA UNGA WAKIRIUDI 

HALI HALISI YA MAFURIKO ILIVYOKUBA  NA MAJI O NA KUONA NYUMBA ZA WAKAAZI  ZILIVYO ZAMA    PICHA HIZI KWA HISANI SULTAN MBWERA  WA MUHORO RUFIJI 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu