2


SI LA KULIKOSA

Friday, February 5, 2016


RAIS MAGUFULI MGENI RASMI SIKU YA SHERIA NA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA
Rais Dtk John Pombe Magufuli (kushoto) akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman alipo wasili katika viwanja vya Mahakama wakati wa kilele cha Maadhimisho ya 21 ya siku ya Sheria na uzinduzi wa mwaka mpya wa kimahakama, Dar es Salaam, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Said Mecky Sadiki . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


Rais Dk. John Magufuli (kushoto), alisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman alipowasili katika Viwanja vya Mahakama wakati wa kilele cha Maadhimisho ya 21 ya Siku ya Sheria na uzinduzi wa mwaka mpya wa kimahakama 2016 Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Said Sadiki.Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akikagua Gwaride lililo andaliwa.Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu