2


SI LA KULIKOSA

Tuesday, March 8, 2016

BREKING NEWZZZZZ MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI ANENA LEO

Katibu mkuu chama cha wananchi CUF Maalim Seif  shariff akiwa kwenye  hospitali ya Hindumandali  akizungumza wandishi wa habari kuelelzea maelndeleo ya Afya yake anasewma sasa iko safi na kama kuna mtu anapinga tufanye  mbio kutoka hapa mpaka mwenge ntaza mie kufika akiwatania wandishi

akifafanua kuhusu jinsi alipopata maradhi hayo na kupelekea kulazwa hapa maalim anaeleza kuwa asbuhi alipotoka nyumbani alikwenda katika uwanja wa ndege kuelekea Dar es salaam lakini alipofika kwenye uwanja wa ndege wa zanzibar alijisikia kizunguzungu  ndipo walipoona hivyo wasaididizi wangu waliona wanmilete moja kw2a moja mpaka hapa Hospitali
hapa

Nilipofika hapa nilifanyiwa uchunguzi wa afya yangu na kuona hamna kitu ila ni uchoovu nilihitajika kupumzika
Na dakitari wake Omar Suleiman  aliwambia wandihi kuwa maalim aliporudi kutoka nje ya nchi alipokwenda kufanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo hali ilikuwa nzuri na alishauriwa apumzike kiidogo amerudi ijumaa jumamosi jumapili lakini ilipofika jumatatu mpaka asbhuhin yuko vizuri   TUTAENDELEA KUWALETEA TYAARIFA ZAIDI ANGALIA MZUKA WA FUNGO
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu