2


SI LA KULIKOSA

Saturday, March 12, 2016

BREKING NEWZZZZZZZ YANGA SHINDA 2-1

MABINGWA WA SOKA NCHINI  TANZANIA  YANGA LEO IMEANZA VIZURI KATIKA MCHEZO WAKE WA KWANZA  WA KLABU BINGWA AFRIKA  BAADA YA KUIFUNGA TIMU YA APR YA RWANDA KWA MABAO 2-1 NA KUSHINDA KATIKA MCHEZO WAKE WA UGENINI  MABAO HAYO YAMEFUNGWA NA JUMA ABDUL KIPINDI CHA KWANZA NA KAMUSOKO AMEFUNGA KIPINDIU CHA PILI  TUTAWAJUZA ZAIDI NA MZUKA WA FUNGO
ZAIDI  SOMA MZUKA 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu